Na. David Kafulila
NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
Tokugawa Shogunate...
Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT.
Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA...
Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana.
Nilitaka...
Wakuu habari za muda huu, nina rafiki yangu ametumiwa email kichwa cha habari kina eleza kwamba INTERVIEW INVITATION - SYSPRO BUSINESS SUPPORT.
Sasa haelewi hiyo SYSPRO BUSINESS SUPPORT ni nini...
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana.
Sema biashara...
Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao.
Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa...
Benki ya Dunia imesitisha ufadhili wa mradi mkubwa wa utalii nchini Tanzania kwa madai kuwa umesababisha mateso miongoni mwa maelfu ya wanakijiji kama ilivyokuwa katika kuwahamisha jamii ya maasai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.