Ndugu zangu Watanzania,
Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Habari ndugu wanaJamiiForums, Rejea kichwa cha mada chausika. Mimi nina mgonjwa hospitali ya wilaya mkoa wa Kagera, kila dawa tunayoandikiwa na daktari, tukienda famasi hawana.
Lakini wagonjwa...
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa
Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
Hatimaye Urusi imeanza kuongea lugha moja na dunia, hawa watu sio wa kucheka nao, unacheka nao wanakulipua, wanafundishwa chuki tangia utotoni mpaka wanakua watu wazima unafikiri wewe...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.