Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI. Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara...
22 Reactions
83 Replies
2K Views
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema...
20 Reactions
99 Replies
3K Views
Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni...
0 Reactions
13 Replies
269 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
21 Reactions
335 Replies
5K Views
Wadau, kusema za ukweli sina hisia na furaha kwenye ajira yangu japo nipo muda mchache tokea nimeajiriwa ila hisia na ile furaha ya ajira haipo tena yaani nafanya kazi tu ili siku ziende tu...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Wasalamu ndugu,Bungeni Leo wamesema kibali Cha Ajira kimetoka. Nawashauri vijana ambao mnategemea kuomba hasa zile za kuaaply mfanye maandalizi mapema. 1.Vyeti vyako visiwe mbali na wewe 2.Simu...
4 Reactions
8 Replies
147 Views
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
0 Reactions
8 Replies
173 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,396
Posts
49,416,363
Members
665,913
Latest member
Mohamed contao
Back
Top Bottom