Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niaje waungwana Naona hata hapa ni wayahudi wa wachache wa bonyokwa ndio wamejitutumua ku report kashambulio ka Israel, ambako kimezuiwa mara moja bila kuleta madhara. Kila mtu anakumbuka...
3 Reactions
10 Replies
59 Views
Wadau Eid Mubarak, Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni...
5 Reactions
70 Replies
882 Views
Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8. = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
8 Reactions
474 Replies
10K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu. Vijana wengi tunapoteza valuable time...
3 Reactions
2 Replies
3 Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Imezoeleka watu kufahamu biashara haramu ya binadamu kama biashara inayofanyika kwa kuvuka mipaka, yaani kati ya nchi moja kwenda nchi nyingine, lakini ukweli ni kwamba biashara haramu ya binadamu...
7 Reactions
9 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,722
Posts
49,427,814
Members
666,044
Latest member
mkamburi kilasama
Back
Top Bottom