Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii. Polisi...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa...
4 Reactions
11 Replies
272 Views
MHE. WANU HAFIDH APOKEA ZAWADI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTOKA UWT KATIKA MDAHALO WA WANAWAKE NA MUUNGANO Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) na Mwenyekiti wa Taasisi ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
19 Reactions
105 Replies
3K Views
Peace, Mwalimu alituhumiwa kimya kimya kuwanyamazisha "wanonko" wake kama kina Market ine au Soko ine n.k Mmachinga ilituhumiwa na street investigetors kuwanyamazisha "wanonko" wake kama kina...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
31 Reactions
125 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
148 Reactions
12K Replies
4M Views
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa, Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo, Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani. Nilianza na upande wa...
36 Reactions
331 Replies
12K Views
Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia. Sifa zake Awe mwanamke...
17 Reactions
110 Replies
978 Views
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
2 Reactions
97 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,489
Posts
49,487,281
Members
666,757
Latest member
Tony brayer
Back
Top Bottom