Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani...
2 Reactions
22 Replies
169 Views
Yes. Kuna mastaa wengi kutoka nchi zingine tumeshuhudia wakikipiga soka hapa nchini n wengine bado wapo hata sasa baadhi yao ni kama hawa hapa Musonda Francis Kahata Yaw Berko Amis Tambwe Haruna...
3 Reactions
25 Replies
575 Views
Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
3 Reactions
10 Replies
145 Views
Aloha kakahiaka.... 👋👋 Kama wewe ni mpenzi wa kutazama mieleka kwa muda mrefu na unawafahamu baadhi ya wacheza mieleka utagundua kwamba michoro/tattoo zilizopo kwenye mikono na mabega ya The Rock...
26 Reactions
61 Replies
3K Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
BBC swahili na ukimya wa Maandamano ya Marekani na Uingereza. Naona kimya kama hakuna kitu kinachoendelea. Tunahitaji UPDATE.
0 Reactions
10 Replies
325 Views
Kwa ndugu zangu majirani hapo mkoa wa kigali kulikoni tena. Kwaiyo rwanda average IQ inaweza kua ni below 10?? Nauliza tu si kwa ubaya
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na...
65 Reactions
372 Replies
12K Views
Je sababu zilizotumika kuzifungia nyimbo kama Kibamia na Nyegezi hazipaswi kuwa hizo hizo kukifungia kipindi cha Bao la asubuhi cha Bongo Fm(Tbc Fm ya zamani). Naomba tujadili.
1 Reactions
2 Replies
18 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,396
Posts
49,485,063
Members
666,731
Latest member
kudojo
Back
Top Bottom