Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
Kauli ya Mbowe inanikumbusha Swali la Mungu wa Mbinguni na Majibu ya Adam pale Eden
Mungu: Adam kwanini umekula tunda nililokukataza usile
Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa ndio amenidanganya...
WanajamiiForums naomba kuuliza
Nahitaji msaada pia
Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021
Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa...
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM...
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa...
Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.
Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu...
Nimeitazama kwa makini hii nembo ya Muungano nikagundua kuwa Wazanzibari wametuzidi ujanja sana. Hebu cheki kwenye hiyo nembo, Tanganyika pamoja na ukubwa wake wote na idadi kubwa ya watu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.