Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
9K Views
Mlioko Mjini tujuzeni hali ya mvua huko niko Ubungo nakuja town Ni hilo tu Mbarikiwe! ====== TAARIFA KWA UMMA YAH: Kufungwa kwa Njia. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART unawaarifu...
2 Reactions
42 Replies
828 Views
Habari zenu waungwana wa humu ndani, Nina jambo lanitatiza sana, kila nikiishi pahali lazima nifatwe na Paka, yaani atokee Paka aweke kambi kwangu, nikianzia kwetu kwa wazazi alikuja kipaka...
17 Reactions
178 Replies
7K Views
Kwa hali ya mabando jinsi ilivyo kwa sasa kuna shida kubwa kwenye kudownload mafaili, kufa kufaana mwanangu! penye shida mpya huwa pana mlango wa fursa mpya. Ttcl hasa kwenye majiji wanatoa...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mnakosea sana, Mnjidanganya, Mambo hayendi hivyo. Ulikuwa jambazi umeibia watu, wameshindwa kuendelea kwajili yako, Ulikuwa mzinzi, umekuwa chanzo cha ndoa za watu kuvunjika Ulikuwa muuaji...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wengi wa vijana wa kijana wa kileo tumekuma tumekuwa tukifuata mkumbo tena na kushawishiana eti Kataa ndoa bila ya kujua umuhimu wa jambo tunalolipinga. Miongozi mwa faida za ndoa ni pamoja...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
2 Reactions
37 Replies
362 Views
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, @ExMayorUbungo alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw.Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
0 Reactions
2 Replies
83 Views
Habari wakuu! Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery...
3 Reactions
14 Replies
146 Views
SIRI ZAVUJA MIKOPO CHECHEFU - Jaji aliyehukumu kihuni kesi za wafanyabiashara waliokataa kulipa mkopo waliokopa kisha kukimbilia mahakamani na kuwapa ushindi ahamishwa mahakama -atolewa mahakama...
0 Reactions
10 Replies
316 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,811
Posts
49,466,310
Members
666,456
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom