Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia. Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja...
0 Reactions
2 Replies
22 Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
4 Reactions
164 Replies
744 Views
Hii Dar es Salaam sijajua ni kwa nini watu wanaipaparukia kiasi hichi, huu mkoa una paishwa tu lakini hamna kitu kabisa. Mkoa umejaa shida kila mahala. Nitaongelea sekta ya usafiri, japo ki...
26 Reactions
94 Replies
2K Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
14 Reactions
233 Replies
3K Views
Tanzania yote kuanzia kwa wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji/Mitaa, madiwani, wabunge na Rais, kwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99) wanatokana na Chama cha Mapinduzi. Kwa...
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
6 Reactions
150 Replies
2K Views
Niaje waungwana Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya...
1 Reactions
5 Replies
74 Views
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
7 Reactions
56 Replies
506 Views
Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja. IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA? Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la...
0 Reactions
2 Replies
42 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,543
Posts
49,421,352
Members
665,974
Latest member
an gott glauben
Back
Top Bottom