Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na...
Kiukweli Oysterbay itabaki Kuwa Oysterbay tu japo wengine wanadai Mbweni ndio mbadala wa Makazi ya Viongozi wa Serikali waliokuwa wanaishi huko
Barabara ni Lami tupu lakini Maji ya mvua...
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki .
Ni sawa ..
Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
Wana jamvi msaada wa mawazo kuna sehemu niliidai pesa yangu zadidi ya miezi 6, hatimae leo wamenilipa naomba ushauri niifanyie uwekezajiau/ biashara gan ambayo itazalisha na kuongeza thamani ya...
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe.
Takwimu alizotoa zinaonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.