Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Yaani mfumo jioni huu uko hovyo kiazi kiazi kinanafuu
2 Reactions
6 Replies
15 Views
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya. Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
22 Reactions
226 Replies
3K Views
Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na...
9 Reactions
38 Replies
745 Views
HUYU NDO HUWA ANATUKANA WATU MTANDAONI??? HUYO NDO AMEMTUKANA RAISI?
3 Reactions
37 Replies
373 Views
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao...
3 Reactions
59 Replies
2K Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
8 Reactions
43 Replies
579 Views
Mamdogo Penny Money Penny enhe! Mwana: niko na sugar daddy ila kama kijana daddy money penny: kwanini? mwana: penzi lake lanitesa sana, mwanaume anaenda kwa siku mara 3 money penny: ana umri gan...
2 Reactions
22 Replies
615 Views
Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa...
47 Reactions
438 Replies
17K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,872
Posts
49,432,864
Members
666,106
Latest member
cosmas maxmilian Alex
Back
Top Bottom