Poleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?
Nawasilisha
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alivunja ndoa za wengi hapo zamani kaamua kuokoka, nonsense, ujinga...
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
Kwenye makuzi yetu mpaka kufikia hapa tulipofikia kuna mtu amehusika kwa asilimia kubwa mpaka kufika tulipofika.
Yawezekana ni baba,mama, rafiki, bibi, babu, mjomba, mwalimu wa shule ama yeyote...
Habarini,
Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe...
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA
MTUNZI:SINGANOJR .
AGE:18+
NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA
PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346
PROLOGUE../DIBAJI...
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike.
Tukio hilo...
Habari wanaJF
Mwaka jana nilileta uzi kuomba msaada baada ya masiku ya kuhangaika na kukosa msaada kwa takriban miaka mitatu. Tatizo lilikuwa kukosa nguvu za kiume baada ya kuchepuka na aliekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.