Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa...
11 Reactions
121 Replies
2K Views
Hata katika ukusanyaji wa mapato hakuna mwaka tumepata mapato makubwa bila kufunga watu, bila kupora watu kama mwaka huu” - Abdulrahman Omar Kinana, Makamu Mwenyekiti CCM.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza...
12 Reactions
71 Replies
3K Views
Here is a reason behind Sexual dreams can feel good because the brain releases neurotransmitters, such as dopamine and oxytocin, which create pleasurable sensations and feelings of intimacy and...
3 Reactions
39 Replies
314 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto na kama hali itaendelea hivyo atamuweka ndani...
4 Reactions
25 Replies
583 Views
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni...
18 Reactions
64 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi cha gadeni tena kipindi hiki cha mvua? Hali ya Barabara Africana njia ya kuanzia kwa kwa...
2 Reactions
4 Replies
59 Views
Hello. Katika ulimwengu wa mahaba kipi uwa unaenjoy zaidi. Kuzama chumvini wewe je?
5 Reactions
53 Replies
675 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
27 Reactions
360 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,604
Posts
49,423,329
Members
666,015
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom