Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
24 Reactions
245 Replies
4K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
30 Reactions
121 Replies
4K Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
39 Reactions
188 Replies
2K Views
Serikali Rais mama Samia imetenga Bilioni 300 kuanza Ujenzi wa Daraja la Jangwani Ili kutatua kero ya mda mrefu ya Mafuriko na kukatika Kwa Barabara eneo la Jangwani Daraja Hilo litajengwa...
27 Reactions
207 Replies
12K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
10 Reactions
169 Replies
2K Views
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
0 Reactions
13 Replies
290 Views
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee , sasahivi nimegundua kumbe...
8 Reactions
22 Replies
188 Views
Maisha yamejaa marafiki wasio na urafiki. Watu wengine hawakufa wakati mshale ukiwa kifuani mwao, walikufa walipoona ni nani aliyerusha mshale huo. Hapa kuna Dalili 12 za marafiki wasio na...
2 Reactions
7 Replies
168 Views
Kiwanja kina sqm 584, Bei milioni 14 maongezi kidogo yapo. Kiwanja kipo mtaa mzuri uliojengeka, barabara inafika mpaka kwenye kiwanja Kimepimwa kina hati ya wizara 0675 065906
0 Reactions
15 Replies
335 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,945
Posts
49,435,550
Members
666,147
Latest member
Aby Emmanuel
Back
Top Bottom