Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
40 Reactions
167 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba...
5 Reactions
34 Replies
365 Views
Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta athari katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha, baada ya baadhi ya nyumba kufunikwa na kuzingirwa na maji, hivyo baadhi ya wananchi...
0 Reactions
11 Replies
38 Views
Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo. Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni. Usipende kuongea chooni/bafuni. Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni...
19 Reactions
177 Replies
4K Views
Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30 Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali...
1 Reactions
12 Replies
235 Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
20 Reactions
341 Replies
7K Views
Binafsi najifunza programming just for fun and enjoyment ya kupata maarifa mapya. Nimeanza na HTML pamoja na CSS kadri siku zinavyoenda tutapeana updates ya jinsi darasa linavyoenda. Site...
2 Reactions
87 Replies
5K Views
Zaidi ya wananchi 1,000 wa Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wamekosa huduma za afya kwa miezi mitatu sasa, baada ya tabibu anayehudumu kwenye zahanati ya kijiji...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
3 Reactions
16 Replies
323 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,019
Posts
49,404,146
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom