Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk
Je, watendaji wakiwemo...
Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio , Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki
Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
Natumai mko poa pamoja na hizi tozo[emoji1].
Mind-body dualism hii ni dhana kwamba akili(mind) na mwili(body) wa binadamu ni vitu viwili tofauti kila kimoja kinajitegemea kivyake.Dhana hii ilikua...
Mimi kama mwananchi Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini uboreshaji wa jengo la Abiria la Uwanja wa ndege Mwanza, cha kushangaza ahadi na maelezo matamu yamekuwa yakitolewa kila mara kuwa mkataba na...
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
Watu wengi hawajui historia ya muziki wa bongofleva na hawajui umeanzia wapi.
Fact ni kwamba muasisi wa muziki wa bongofleva ni Prince Dully Sykes aka Mr Misifa.
Sound hii unayoiskia leo ya...
Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.