Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dr Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip...
0 Reactions
1 Replies
38 Views
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza. Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
4 Reactions
22 Replies
453 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi. Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
2 Reactions
41 Replies
607 Views
Hiki ndicho unachoweza kusema juu ya Waziri wa Madini Doto Biteko ni mwanasiasa mpole mtaratibu asiye na Tamaa ya madaraka na asiye na kiburi. Ni mwanasiasa wa kutolewa mfano pamoja na kuongoza...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba ile Wiki ya Maandamano ya kuoinga Ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria za kijinga za Uchaguzi Nchini Tanzania ingali inaendelea , Ambapo leo ni Zamu ya...
4 Reactions
13 Replies
276 Views
Habari ndugu zangu poleni na majukumu ya kilasiku Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana wa kiume umri 22 ni mwanachuo wa chuo x hapa Dar kutokana na changamoto za usafiri plus Nauli...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
15 Reactions
81 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,387
Posts
49,484,892
Members
666,730
Latest member
kudojo
Back
Top Bottom