Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wizara ya Maliasili Yapania Kuboresha Halibora ya Wafanyakazi Wizara ya Maliasili imepania kuendeleza halibora ya wafanyakazi wakati huu sekta hizo zikiendelea kuwa na nchango mkubwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Habari za muda huu wapendwa. Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako. Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
8 Reactions
36 Replies
385 Views
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe. - Takwimu alizotoa zinaonesha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
5 Reactions
51 Replies
401 Views
Habari JF, Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja, Kuna...
2 Reactions
33 Replies
197 Views
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini? Umeaccomplish mikakati yako? Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
4 Reactions
45 Replies
250 Views
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005. Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy...
49 Reactions
148 Replies
4K Views
Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani...
3 Reactions
8 Replies
440 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,858
Posts
49,468,004
Members
666,455
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom