Juzi tumeanza kwa kutoa Sadaka kwa Watoto Yatima na Wasiojiweza na Leo Alrajiri Jini ameshashibishwa Chakula chake pendwa cha Damu huku Watu Maalum wakifuata Kitu fulani Ajalini ambacho Babu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu za wakati huu,
Nina mtoto ana miezi mitano bado hatujamuanzisha chakula kingine ananyonya maziwa ya mama yake tu, ila shida ni kuwa amekuwa ananyonya muda wote anakaa kidogo anapata njaa...
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA
MTUNZI:SINGANOJR .
AGE:18+
NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA
PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346
PROLOGUE../DIBAJI...
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr.
Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach
Je, nawe utaenda wapi?
Nimesikia mahali kuwa mafuta taa ni sumu ya hatari sana kwamba mtu akimiminiwa ndani ya masikio hata dakika 5 hamalizi ngoma za masikio hupasuka na kufariki papo hapo.
Jee ni kweli?
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
1. Nilifaulu nipangiwa mkoa kilimanjaro, nyumba ya ubalozi niliofikia kulikua na mfanyakazi wa ndani anatokea Tanga, Kwakua sikuwa na uzoefu sana jinsi alivyojua ananionesha nikajua ananipenda...
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.