Hellow wakuu.
Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu itifaki imezingatiwa
Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana
Hivi mwanaume mwenye majukumu ya...
1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili.
2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo.
3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka...
Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo
Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw
Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema...
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu
Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina...
Onyo: video hii ni yakuogofya hatutohusika kwa mfadhaiko wowote utakaokupata
Ndugu zangu leo sina mengi nipo na hawa viumbe wapenda wadada wa kazi na wao kazi yao kufuga kucha na kusuka minywele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.