Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?
ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
Taarifa ya habari TBC imeonyesha Kamanda Lazaro akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu upande wa Dar es Salaam.
Kupitia TBC Kamanda wa Polisi kanda ya DSM Lazaro...
Kama sio wewe basi utakuwa umewahi kutana na mtu akilalamika dhidi ya watu ambao wana tabia zisizo rafiki na pengine mpaka mtu huyo anatamani kuachana na kazi hiyo ili aepuke kukutana na watu hao...
INTRODUCTION.
Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund..
Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government...
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu Shemsa Seif Mohammed amemshukia Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina kuacha siasa za Majitaka na badala yake ajikite kuwatetea...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.