Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇 1. CPA. William E. Mtinya...
6 Reactions
74 Replies
1K Views
Kwa kweli hali kisiasa nchini imepoa sana hadi inaboa kabisa. Ndio maana hata watu wengi hawajui nini kinaendelea kwenye siasa za nchi hii. Huwezi amini eti kwasasa bunge linaendelea hakuna...
0 Reactions
4 Replies
64 Views
kitu gani kilikutoa machozi, kukubaliwa, kukataliwa, kupewa au kuporwa mpenzi wako? kipi kilikuliza? 🐒
5 Reactions
187 Replies
789 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
921 Reactions
1M Replies
39M Views
Tumetawaliwa na chama kimoja (CCM) tangu nchi ipate uhuru. Serikali ya CCM inahusika na makazi holela yanayokumbwa na mafuriko tunayoyashuhidia yanayosababisha maafa na hasara kubwa wa raia na...
1 Reactions
12 Replies
193 Views
Habari jf Katka kupambana na maisha kuna malengo tunajiwekea Shida ni changamoto ya kuyafikia. Mwanzo mwa mwaka 2016 nilijiwekea target kufikisha milion 3. Kwangu ilikuwa hela nyingi coz nilikua...
32 Reactions
262 Replies
45K Views
Jana Viongozi wote wa Simba SC mlionekana Bunju Arena mkiwa na Sura za Upendo kwa Wachezaji huku kila Kiongozo aliyekuwepo katika Msafara ule akienda kwa kila Mchezaji na Kuwaonyesha Upendo na...
1 Reactions
15 Replies
392 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake Kwamba wahusika hawatokwenda...
0 Reactions
3 Replies
56 Views
Naibu waziri mkuu mh Dr Biteko amesema Mtambo namba 8 na 7 Bwawa la Umeme la Nyerere itawashwa Hivi Karibuni Baada ya Majaribio kwenda vizuri Biteko amesema kuwashwa kwa mitambo hiyo kutamaliza...
2 Reactions
4 Replies
25 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,061
Posts
49,405,965
Members
665,830
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom