Katika tembea tembea yangu tarehe 20.04.2024 nilikuwa mkoani Kigoma vijijini sehemu inayoitwa Kazegunga.Tulikuwa na washikaji zangu ktk sehemu fulani tukipata kinywaji baridi.
Mara tukavamiwa na...
Baada ya Baraza la manabii na mitumi kuanzishwa kwake nilikuwa nimmoja wa watanzania walio jitokeza kuomba Kaz Kama katibu wa mitume na manabii
Niliona fursa hyo iliyokuwa wazi snaa lkn ajabu...
Mchambuzi maarufu wa masuala ya Siasa nchini Gelard Hando amesema Paul Makonda akikutwa na hatia kwenye Kikao Cha Maadili CCM atafukuzwa Kazi ya Mkuu wa mkoa
Hii ni kwa mujibu wa Katiba, amesema...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe!
Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na...
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Utangulizi
Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
Uwanja ukowazi.
Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa.
Sifa zangu:
Umri : 50
Elimu: shahada 1 &2
Kazi: Mfanya biashara
Dini: Mkristo...
Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha.
Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.