Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hadi leo TAMISEMI wapo kimya wakati walitangaza mwisho wa February watatoa ajira za ualimu na afya duh
5 Reactions
9 Replies
233 Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
7 Reactions
96 Replies
2K Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
25 Reactions
119 Replies
2K Views
Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada...
0 Reactions
3 Replies
47 Views
Hii mambo ya kuteuana ndio inaleta watu kama kina Try Again , Mangungu, imani Kajula watu ambao uwezo wao kwenye football management ni mdogo sana. Hii itasababisha kila kocha ataonekana hafai...
0 Reactions
1 Replies
31 Views
Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️ Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja? Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja? Kudhalilisha...
3 Reactions
31 Replies
257 Views
Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni. BEI ZA LOGO 80K= Logo+B Card+Letter head...
12 Reactions
296 Replies
8K Views
Wakuu, long live to you all. Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake. Asilimia 99% ya balistic missile zote...
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Shehe mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar amesema Ijumaa itakuwa ni siku Maalumu ya kuliombea Taifa juu ya mvua zinazoendelea kunyesha Mungu wa Mbinguni mbariki Mufti Abubakar
2 Reactions
26 Replies
361 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,984
Posts
49,403,034
Members
665,811
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom