Wakili Frank Mwalongo amejitokeza kujitetea mbele ya waandishi wa habari kuhusu tuhuma kadhaa ambazo umma ulielezwa kwamba, kampuni ambazo zimekopa mikopo chechefu, zote zinamtumia mahakamani...
Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike...
Assalamualaikum Wana familia ya jf.
Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.
Hasa wenye makabila ya asili ya tz
Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga
Biashara ikiwa na wateja wachache huona hawajiongeza...
Bila shaka umaarufu wa chadema unashuka kwa kasi, maandamano yao huko Bariadi yamejaa vitoto vyenye umri chini ya miaka kumi, ambavyo hatabkura havitapiga.
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na maswali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.