Je, kwa nini Netanyahu anaendelea kuwaza kuhusu kulipa kisasi kwa Iran ikiwa Israel iliua makanda wa Iran, lakini wao Israel kama ambavyo wanaripoti kuwa wameyadungua makombora ya Iran 99% na...
Baada tu ya Komredi Makala kutangazwa Kuwa Mwenezi mpya wa CCM Chama Kikuu Cha Upinzani kikasema Makala hauwezi kukubali kufanya mdahalo
Lakini wakati wa kupokelewa ofisini Lumumba Komredi Makala...
Benki mbona kama hakuna usalama Tena..
Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa.
Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi...
Ule mpango kazi wa Chadema wa kusajili wanachama wake kwa njia ya kisasa , unaoitwa Chadema Digital umeingia Wilayani Rungwe baada ya kumaliza kupita vijiji vyote vya Kyela kwa kishindo .
sasa...
Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wanaume hukasirika zaidi pale wanapogundua kuwa wanawake zao wanacheat?
Iko hivi...
Watu wengi (hasa wanaume) huamini kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kucheat...
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
Full name: Manchester City Football Club
Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues
Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and...
Habarini za wakati huu memberz wenzangu.
Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua.
Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.