Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Zanzibar ACP Abubakar Khamis Ally amesema Jeshi hilo litaendelea kuwakamata wale wote wataoonekana au kukutwa wakila chakula mchana...
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani!!?haya mabasi ya mwendokasi TU haya yamewashinda serikali!!?yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi TU yaani imeshindwa...
Leo sisalimii mtu.
Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity.
Sisi...
Ndugu zangu!
Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.
Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa...
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.
Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.
Iwe jua iwe...
Habari Tanzania!
Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.
Kiukweli wananchi...
Rais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi
Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu...
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.