Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Arusha,Zanzibar,Kilimanjaro,Mara na Mbeya ni moja kati ya sehemu ambazo zimekuwa ukipata sifa lukuki juu ya uzuri wa maeneo ndani ya mikoa hiyo.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuonesha uzuri wa...
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na...
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah.
Mashah wawili wa...
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.
Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.
Kuna kipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.