Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
11 Reactions
548 Replies
17K Views
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa. Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Mbunge Wa Arusha Mjini na Diwani Wa sombetini kamanda Ally Bananga wanusurika kutekwa na majambazi Makuyuni wakiwa wanatokea Dodoma usiku wa leo.. kwabahati Nzuri dereva wao Junior Mtatiro...
4 Reactions
122 Replies
15K Views
Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke...
8 Reactions
53 Replies
979 Views
Diwani wa (CHADEMA), Kata ya Sombetini, Ally Bananga Binamu Bananga amesema yupo tayari kurudi (CCM) ikiwa viongozi wa chama hicho ambao wanataka kumnunua ikiwa watamuonyesha watu waliowatuma...
19 Reactions
202 Replies
19K Views
Baada ya UVCCM kutoa tamko kwamba huwa wanapoteza watu, na kisha kutoa amri kwa Jeshi la Polisi lisiwatafute. Sasa kuna wakili "kapotezwa" tangu mwaka 2022, na wanaopoteza watu wamejitokeza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi ndivyo Kiongozi wa serikali anapaswa kuenenda, nakupongeza Sana Dr Dorothy Gwajima na ni lazima tukutafutie Jimbo 2025 Waziri Dr Gwajima amemshukuru kwa ahsante mjumbe wa kamati kuu ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
8 Reactions
88 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,809
Posts
49,430,323
Members
666,063
Latest member
kipethor
Back
Top Bottom