Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Poll
Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
5 Reactions
11 Replies
117 Views
Paul makonda lazima alikwea kizimba. Wengi hatujui nini kinahojiwaga na muhojiwa anapaswa kutwii vipi. Ila kwa Paul lazima atakuwa na kujiona ni mteule. Kiufupi ajitathimini sio kila nyakati...
1 Reactions
3 Replies
48 Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
3 Reactions
135 Replies
2K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Dunia nzima imegawanyika hivyo. Wapo wanaozipenda ama kuzichukia Israel na Marekani. Wewe binafsi nini kinakuongoza kwenye kuzichukia ama kuzipenda nchi hizo mbili??
3 Reactions
74 Replies
1K Views
Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
1 Reactions
23 Replies
149 Views
Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela...
19 Reactions
132 Replies
7K Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
8K Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
17 Reactions
91 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,781
Posts
49,465,560
Members
666,454
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom