Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi.
Fikiri mengi lakini zungumza machache,
Sikiliza wengi lakini jibu wachache,
Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
Mbunge wa Konde ( ACT Wazalendo) Mohamed Issa amelalamika bungeni Ajira za Wazanzibar kuchukuliwa na wageni
Mohamed Issa amesema ni uonevu mkubwa Wazanzibar kuporwa Ajira Zao.
Mlale Unono 😀😀
---...
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake.
Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika.
Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
TAMBUA UNYWAJI SAHIHI WA POMBE
Kitu cha msingi kwenye pombe siyo kujua aina ya beer au kilevi. Kitu cha msingi ni kujua percentage of pure alcohol (asilimia ya pombe halisi) na ujazo wake (...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema:
Katika mwaka 2023/24...
Zingatia hicho kichwa hapo juu
Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.