Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
5 Reactions
140 Replies
2K Views
Habari wanajamii forum, naombeni mnisaidie kwa wale ambao wanafuatilia vizuri masula ya kujiendeleza kielimu hivyo ni vuo gani vizuri vinavyotoa distance learning? Iwe kwa hapa nchini au njee kwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
wakuu habari yenu,natumaini muwazima wa afya. Katika kipindi hiki tunapitia mambo mengi sana kiasi kwamba tunachanganyikiwa na sometime tunakosa la kufanya. Katika harakati zangu za kila siku...
2 Reactions
12 Replies
129 Views
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia kwa karibu sana mchezo wa soka siku ya Jumamosi tarehe 20 Aprili 2024 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es...
5 Reactions
23 Replies
891 Views
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati...
26 Reactions
107 Replies
5K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti...
5 Reactions
16 Replies
448 Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
6 Reactions
28 Replies
175 Views
Ni hivi, Mimi nikiongea sana au hata story yakuadithia kwa dakika kadhaa huwa koo linakauka na sauti inapotea na kukwaruza kwaruza, Ni kwann eti? Au kuna chakula natumia ndo chanzo cha...
2 Reactions
22 Replies
207 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,911
Posts
49,434,568
Members
666,121
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom