Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani? maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao...
1 Reactions
17 Replies
110 Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
26 Reactions
91 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena...
22 Reactions
105 Replies
7K Views
Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100 Majimbo ya uchaguzi...
9 Reactions
34 Replies
678 Views
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005. Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy...
54 Reactions
153 Replies
5K Views
Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
4 Reactions
29 Replies
307 Views
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi). Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati...
15 Reactions
323 Replies
4K Views
UWT WATEMBELEA MKOA WA MOROGORO NA KUWAFIKIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Watembelea Mkoa wa Morogoro Aprili 23, 2024 na kushuhudia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,966
Posts
49,471,161
Members
666,531
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom