Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
5 Reactions
69 Replies
906 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
15 Reactions
97 Replies
1K Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
4 Reactions
29 Replies
436 Views
Je, Mungu ni muweza wa yote? Kama jibu ni ndiyo, basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika. Ukiona unamchagulia yapi anafanya...
13 Reactions
100 Replies
1K Views
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na...
19 Reactions
121 Replies
1K Views
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
7 Reactions
65 Replies
946 Views
Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni. Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
7 Reactions
105 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,497
Posts
49,203,937
Members
664,041
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom