Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
34 Reactions
97 Replies
4K Views
Habari Wana JF.Ni kijana wenu nimekuja Tena kuleta experience yangu ya kuishi na mama mpaka umri wangu huu wa utu uzima.Bila kuwapotezea muda niliyoyagundua ni haya kutoka Kwa Mama na Baba japo...
2 Reactions
9 Replies
97 Views
DSM mvua kubwa sana inaonyesha Lakini madhara yanadhibitiwa na hakuna Vifo Nairobi kwa Siku ya Jana tu Mafuriko yameuwa Watu 49 na makazi zaidi ya 10000 kuzolewa na Mafuriko Hongera RC Chalamila...
3 Reactions
25 Replies
429 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema: Katika mwaka 2023/24...
6 Reactions
62 Replies
2K Views
Chadema ni chama kinachoelekeza zaid wananchi kidini ukiangalia kipo zaidi na maelekezo ya kanisa hata katika balaa la bandari walijitokeza waziwazi wakishadidia dini yao ya kikiristo,huku ni...
0 Reactions
10 Replies
162 Views
Wakubwa ni habari za wakati huu... Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Kutokana na sababu mbalimbali km ugonjwa, chanzo cha kifo n.k mtu anaweza kufariki na mwili wake yaani kila sehemu ya mwili ipo vizuri kiasi unaweza kudhani mtu huyo bado yupo hai Lakini kuna...
0 Reactions
7 Replies
104 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,307
Posts
49,481,827
Members
666,698
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom