Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
20 Reactions
513 Replies
9K Views
Habari wakuu, Leo kutakuwa na droo ya robo fainal ya ligi ya mabingwa ulaya. Timu nane zimefuzu kwa ajili ya droo hiyo, ambazo ni; Arsenal (England) Atletico Madrid (Spain) Barcelona (Spain)...
14 Reactions
228 Replies
6K Views
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia. Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja...
14 Reactions
46 Replies
1K Views
Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada, Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa...
1 Reactions
39 Replies
690 Views
Wasalam Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu Historia inaonyesha Simba...
0 Reactions
9 Replies
528 Views
Kwa faida ya wote hasa vijana wa kileo ni hivi hapo zamani sehemu kubwa za miji mingi haikuwa na lami. Barabara nyingi zilikuwa ni za vumbi. Sasa hawa funza walikuwa ni wadudu wadogo mithiri ya...
4 Reactions
51 Replies
441 Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
12 Reactions
51 Replies
1K Views
Habari! Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe...
0 Reactions
7 Replies
77 Views
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
78 Reactions
13K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,846,893
Posts
49,433,753
Members
666,118
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom