Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
280 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
14 Reactions
141 Replies
3K Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
3 Reactions
73 Replies
759 Views
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
0 Reactions
3 Replies
93 Views
Wadau maeneo ya MTONI KIJICHI hadi MTONGANI Kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024) Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini. Je Kuna Nini kinaendelea?? Mashaka ni kwamba labda bomba au...
0 Reactions
2 Replies
35 Views
Kukamata mtu kisa amekula mchana siyo ukandamizaji wa haki za binadamu? Tundu Lisu mbona haukemei? Hili wimbi la ukamataji watu huko Zanzibar limeagizwa na nani? Katiba ya Tanzania inasemaje?
0 Reactions
9 Replies
51 Views
Aisee mimi nilikuwa nafukuzia manzi (bonge la pisi ana tako sura usiseme) ila alikua na mchizi wake akawa ananikazia japo kwa mbali kulikuwa na matumaini kidogo. Sasa manzi akashika mimba ya...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Huyu ni Mwanaume ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
1 Reactions
66 Replies
1K Views
Facial expression na kauli za Mama leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG na TAKUKURU ni kama vile Mama hakuwa na raha na GAG zaidi mzani ulielemea kwa TAKUKURU
3 Reactions
24 Replies
733 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,417
Posts
49,201,358
Members
664,013
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom