Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu?
Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani.
MZIGO NI MPYA & GENUINE
Pia tunafanya huduma zote ya 🔝...
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea
Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya...
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013
Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
22 September 2023
Masijala ya Mahakama Kuu
Dar es Salaam
Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake .
Humphrey Simon Malenga...
Hivi karibuni nimehamia Mkoa fulani katika harakati za utafutaji, kama unavyojua maisha popote pale maadam unapambania mkate wa kila siku.
Siku kadhaa zilizo pita nikiwa naelekea katika harakati...
Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.