Maafa ya mvua tar 25/04/2024 mkoa wa Kilimanjaro.
Kata ya Kimochi s/m Lyakimbila
VIFO
1. FREDY GAGALA DRS 1
2. ANGEL CHAKI DRS 7
3. EDWARD CHAKI F II KOMAKYA SEC.
KATA YA MBOKOMU
FUKENI SHULE...
Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu.
Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba...
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar...
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA.
Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa.
TANGANYIKA Haipo hakuna...
Baada ya kuripoti kwa RPC Kinondoni watuhumiwa Boniface Jacob na G Malisa wamepelekwa kwa Kamanda wa Kanda maalum ya DSM afande Muliro kwa mahojiano
Source: Mwananchi
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9.
Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi.
Fikiri mengi lakini zungumza machache,
Sikiliza wengi lakini jibu wachache,
Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani...
Wakuu kwema?
Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema.
Lipi ni neno sahihi?
Ahsanteni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.