Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu heshima zenu Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar Watalamu naomba kujua changamoto za...
2 Reactions
20 Replies
11K Views
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa Nikaona kabisa huu ni ukimwi, kuchukua...
2 Reactions
21 Replies
116 Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
23 Reactions
125 Replies
3K Views
Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka...
35 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu Nina skill za software and Application development, ebo nipeni wazo ambalo likifamyiwa kazi kwenye IT linaweza solve mambo mengi kwenye jamiu na litaleta faida kubwa. NB: Liwe wazo litakalo...
0 Reactions
11 Replies
172 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
118 Reactions
502K Replies
27M Views
Hello habari za majukumu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa. Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
0 Reactions
12 Replies
133 Views
Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
3 Reactions
361 Replies
28K Views
Mwarabu amewaonea huruma, mnataka au Hamtaki? ====== ATANZANIA wataanza kunufaika na fursa za ajira nchini Oman baada ya kuhitimishwa kwa majadiliano ya kuratibu ajira hizo kwa ajili ya...
7 Reactions
143 Replies
7K Views
Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,651
Posts
49,109,666
Members
662,952
Latest member
benn31
Back
Top Bottom