Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari kwenu wanajamii wote.
Nataka kujua na kwa faida ya wengine, hivi jina " Machinga lina asili gani? Kwanini Machinga awe na jina lake badala ya kuitwa tu mchuuzi au mjasiliamali?
Mwenye...
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.
DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili.
2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu...
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.
Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
Habari wakuu.
Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3.
Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana...
Udongo au ardhi inayoundwa na mchanganyiko wa chembechembe za mawe zilizovunjika, viumbehai, mbolea kikaboni, maji, hewa, na vitu vingine vingi. Udongo ni sehemu muhimu sana ya mazingira ya ardhi...
Katika jitihada za kuongeza ajira kwa kundi kubwa la vijana wanao hitimu elimu ya vyuo vikuu, tunaishauri Serikali kupitia wizara husika kurekebisha umri wa kustaafu watumishi wa umma uwe miaka 50...
Historia ya mwanzo wa mabara katika dunia ni moja ya hadithi ndefu zaidi katika maendeleo ya wanadamu. Inahusisha mambo mengi kama vile mabadiliko ya tabia nchi, uhamiaji wa binadamu, na mageuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.