Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kutokana na Serikali kutokutoa Elimu ya Kutosha kwa Watumishi wa Umma na Wastaafu watarajiwa na kusababisha Mslumbano makali nadhani sasa ndio muda sahihi kwa Serikali kutoa ELIMU na FAIDA...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi. Back up plan ni muhimu sana.
17 Reactions
169 Replies
2K Views
Ni vigumu kukuta Watanzania wanajadili mambo yanayo husu maisha yao, Maswala ya kodi isio rafiki kwenye biashara, Upigaji, Tatizo la ajira au matumizi ya anasa ya Serikali. watawala kujazilishia...
1 Reactions
1 Replies
48 Views
Jik Carotone cream Omo Carotone maji Sabuni ya magadi 7 Baking powder n.k
5 Reactions
177 Replies
71K Views
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
5 Reactions
29 Replies
655 Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene ‘Try...
29 Reactions
238 Replies
5K Views
Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili...
3 Reactions
12 Replies
378 Views
Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia. Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
2 Reactions
21 Replies
470 Views
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani...
0 Reactions
12 Replies
108 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,457
Posts
49,418,493
Members
665,947
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom