Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili wadau litaongeza ushawishi mkubwa kwa taifa kila nchi itachagua Tanzania kuja kuweka kambi badala ya kukataza jezi tutengeneze ela kupitia hili, wizara ifanye ubunifu tumeona Mamelodi wamekua...
0 Reactions
9 Replies
129 Views
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
6 Reactions
44 Replies
717 Views
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
8 Reactions
28 Replies
718 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
13 Reactions
148 Replies
6K Views
Habari wana jf. Naimai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na waschana takribani matano mpk asaiv. Ila chakushangaza kila dem napokuwa kweny mahusiano nae...
2 Reactions
17 Replies
61 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
49K Replies
3M Views
Wakuu, Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56. Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi...
0 Reactions
2 Replies
25 Views
Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
1 Reactions
11 Replies
297 Views
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
31 Reactions
575 Replies
11K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,279
Posts
49,195,890
Members
663,964
Latest member
Abel paschal
Back
Top Bottom