Habari za uzima,
Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
Napenda kuwa karibisha katika uzi wa misemo mbalimbali ya kifalsafa. Hili kuweza kuimprove our critical thinking skills, knowledge of logic, to unlock the gate of Wisdom(Hekima) na kuwa sehemu ya...
Manufaa ya muungano tumeyaona, ni matamu sana kwa watanzania walio wengi. Kila kijana mzanzibar anatamani kwenda kuishi Tanzania bara, na wako watanzania bara ambao wanatamani kwenda Zanzibar...
Taarifa za karibuni kabisa kutoka Gaza zinasema kiongozi mkuu wa Hamas,Yahya Sinwar hivi karibuni ameweza kukagua vikosi vya wapiganaji wake maeneo tofauti ya Gaza.
Alifanya hivyo kwa kujitokeza...
Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO..
Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza.
Kwa mujibu wa World Health...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Mambooozzz
Ktk pitapita zang humu jf nmegundua kuna unique sign za wana jf ,hata ukikutana nae live au ktk social network nyingine kama Instagram utamjua TU huyu ni jf member, kwangu ninazozjua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.