Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
1 Reactions
57 Replies
2K Views
Salaam ,Shalom!! Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni...
10 Reactions
79 Replies
1K Views
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime. Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto...
10 Reactions
42 Replies
475 Views
Ni Simba SC imetafutiwa faraja na sasa itakuwa bingwa wa Muungano kwa mashindano ya Mechi mbili tu Ni Tanzania pekee 😂😂😂🔥
2 Reactions
7 Replies
88 Views
Tax Assessors na Tax Collector's wanalielewa Hilo hivyo ni vema wakamuelewesha Waziri Mwigullu Na kwa bahati nzuri Naibu Katibu mkuu Hazina ni Tax man Sanare wakati wa kuanzisha TRA ndiye...
9 Reactions
20 Replies
556 Views
Viongozi wetu tuambieni na tufafanulieni vizuri tuwaelewe. Huu Muungano una dhima gani Kwa wenzetu visiwani? Zanzibar Wana sheria zao tofauti kabisa na Tanzania. Rais wa Jamhuri akisema Watanzania...
2 Reactions
20 Replies
310 Views
Swali fupi sana ila ni la msingi ambalo mtaalam wa afya yakupasa ulifanyie Utafiti uliandikie andiko. Kwanini ukikaa bar unaweza kupiga safari lager zile kubwa za nusu lita hata 10 Sawa na lita...
3 Reactions
13 Replies
188 Views
Hivi karibu Jeshi letu la POLISI Kitengo cha Usalama Barabarani lilikuwa na zoezi la kuziondoa NAMBA za 3D zilizofungwa kwenye Vyombo vya Usafiri. Ni ukweli usiopingika kuwa Ipo KAMPUNI...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 26/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya...
2 Reactions
2 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,359
Posts
49,483,682
Members
666,713
Latest member
MC-MCHOKOZI
Back
Top Bottom