Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani ! inabidi uwe umesha leta impact... kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye...
2 Reactions
16 Replies
17 Views
Maneno haya umeyasema kwa uwazi na ufasaha, fedha za kodi kwa maendeleo ni zetu wenyewe na tunapaswa kufanya juhudi kuzitafuta kwa bidii ili tulipe kodi tuendelee kama nchi. Ndio maana kuna...
3 Reactions
19 Replies
440 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
9K Views
Habari wakuu! Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery...
3 Reactions
9 Replies
104 Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
27 Reactions
97 Replies
2K Views
Info: 9077 Designation not found in your Organization @ ina maana gani kwenye mfumo wa ess.utumishi.go.tz katika section ya Vacancy Transfer
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Cc: madiwani na wabunge
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini. Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative...
7 Reactions
68 Replies
1K Views
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya...
2 Reactions
21 Replies
479 Views
Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu...
0 Reactions
16 Replies
232 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,805
Posts
49,466,231
Members
666,456
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom