Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

.... Inaonekana amejawa na mawazo sana!
0 Reactions
3 Replies
16 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba ile Wiki ya Maandamano ya kuoinga Ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria za kijinga za Uchaguzi Nchini Tanzania ingali inaendelea , Ambapo leo ni Zamu ya...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup...
2 Reactions
8 Replies
9 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne. Imeelezwa kuwa wabunge hao ambao ni...
1 Reactions
6 Replies
14 Views
Kama ilivyo kwa upande wa wanaume kujichua ila wanaume unakua pekeyako. Kwa wanawake ni tofauti ni lazima wawe wawili waweze kugusanisha vikojoleo vyao. Na wakiulizwa sababu ya wao kufanya hivyo...
3 Reactions
11 Replies
169 Views
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
15 Reactions
175 Replies
2K Views
Mkesha huu hapa! Utakesha na nani? Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula. Angalizo.
1 Reactions
11 Replies
396 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Habari Wakuu. Naomba niwaulize Wananchi wa Jimbo la Kawe: Mh Gwajima.(Mbunge) alitekeleza ile ahadi yake ya kuwanunulia Boti ya uvuvi vijana wa Jimbo hilo??
0 Reactions
12 Replies
101 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,376
Posts
49,484,319
Members
666,712
Latest member
MC-MCHOKOZI
Back
Top Bottom