Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna habari zimetoka kuwa Azam wameweka million 400 mezani kwa Yanga wakitaka kumsajili Mzize. Azam ni kichakani yaani sio mjini kwenye soka kwa maana Mzize hataonekana sana huko Ulimwenguni...
1 Reactions
31 Replies
674 Views
“Tunawaambia moja kwa moja kwamba hamwezi kutulazimisha kuchagua marafiki zetu. Tunafikiri China ni rafiki yetu mkubwa, na hakuna mtu anayeweza kutufanya tuachane. Ni ujinga kuona kuwa sisi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili...
1 Reactions
5 Replies
180 Views
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
1 Reactions
9 Replies
212 Views
Akifungua Maonesho ya wiki ya Nishati,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ametangaza kumalizika Kwa mgo wa Umeme Nchini. Dk. Biteko amesema wamefanikiwa kutekeleza Agizo la Rais...
4 Reactions
60 Replies
1K Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
3 Reactions
121 Replies
2K Views
Je, kwa nini Netanyahu anaendelea kuwaza kuhusu kulipa kisasi kwa Iran ikiwa Israel iliua makanda wa Iran, lakini wao Israel kama ambavyo wanaripoti kuwa wameyadungua makombora ya Iran 99% na...
0 Reactions
11 Replies
291 Views
Hivi karibuni, China ilipinga vikali ziara zilizofanywa na ujumbe wa “Marafiki wa Taiwan” uliojumuisha baadhi ya wabunge wa Chama cha Leba cha Uingereza kisiwani Taiwan. China imesema, ziara hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Na Mwandishi Wetu, Mara MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameeleza kuwa, ni vema Watumishi, wataalamu wa serikali kutotoa ahadi ambazo wanajua...
4 Reactions
25 Replies
435 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,408
Posts
49,416,497
Members
665,914
Latest member
Mohamed contao
Back
Top Bottom