Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro...
Ninaomba mnisaidie kunitofautishia kati ya Creditors na Debtors, hizi terms nimeshndwa kuzielewa vizuri.
Hata nimejarbu ku-google lakini sijaweza kutofautisha. Asanteni.
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu !
Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka...
Kama habari inavyoeleza hapo juu,
Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa...
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.