Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana. CAG yupo kwa mujibu wa Katiba kuwepo na kuondolewa kwake lazima kufuate Katiba japo kuna kiongozi tuliwahi kumpata kwa bahati mbaya kiongozi huyo alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
66 Views
wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELOD hapa kuna ishara gani?ila wale ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly . Wacha inyeshe.
2 Reactions
13 Replies
165 Views
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha...
11 Reactions
69 Replies
715 Views
Siku za karibuni Al Ahly wamekuwa na ujasiri mkubwa wakikutana na simba. Sababu kuu ni kwamba wanajua lazima wafanikishe malengo yao mbele ya simba kwakua simba imekosa kabisa mbinu ya...
1 Reactions
6 Replies
146 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Ukipata ukifanikiwa usisite kunibless ata ya soda basi dah! Wana mna roho ngumu haki ya nani! 😂👇👇
1 Reactions
11 Replies
100 Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
33K Replies
2M Views
Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha. Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi...
32 Reactions
263 Replies
5K Views
Kuna zoezi linaendelea nchi nzima kwa wastaafu kuripoti ofisi za NHIF zilizo karibu yao ili wabadilishiwe kadi zao za bima ya afya. Nilipokea taarifa hii juzi kabla hata ya ripoti ya CAG kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tulielezwa Chadema ina wanachama takribani milioni nane (8) ila Idadi ya wapiga kura chaguzi za ndani Chadema haifiki hata watu mia moja (100+) ipo chini ya watu 60 yaani kila Mkoa zilipofanyika...
2 Reactions
22 Replies
301 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,590
Posts
49,206,802
Members
664,060
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom